RISALA KWA MGENI RASMI KATIKA UFUNGUZI WA KONGAMANO LA TATU LA SHULE YAMITANDAO JAMII NCHINI TANZANIA (TANZANIA SCHOOL COMMUNITY NETWORKS) MHESHIMIWA MKURUGENZI MTENDAJI WA KASULU VIJIJINI NOVEMBER 2022.

• Ndugu Mgeni Rasmi, Joseph Kashushura Rwiza, Mkurugenzi Mtendaji, Kasulu Vijijini• Mwakilishi wa MkurugenziMKuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote• Mrajisi Msaidizi, Mkoa wa Kigoma• Mwasisi wa Wazo la Mtandao Jamii na Mkurugenzi Mkuu, Tanzania Community Networks Alliance, Dr. Jabhera Matogoro• Wakurugenzi na wafanyakazi wote wa Tanzania Community Networks Alliance• Wenyeviti wa Mitandao Jamii Mliopo […]