DODOMA:Serikali yaombwa kuanzishwa vituo vya kuhifadhia Data katika jamii.

Mwanzilishi na Mkurugenzi mkuu wa Tanzania Community Nertworks Alliance Jabhera Matogoro SERIKALI imeombwa kuanzisha na kutoa leseni kwa vituo jamii vya kuhifadhi taarifa (yaani community-owned data centre) ili kuongeza idadi maudhui ya ndani (yaani local content) ambavyo vitakuwa chachu ya kuongeza   idadi ya watumiaji wa internet kama ilivyo lengo la serikali ya awamu ya sita. […]